
Alisikia- Manolo Ke
Verse
Have you ever cried before God,
Bawled out your eyes before Him,
Hoping that He hears you, Hoping that He'll come,
​
Ushaimlilia Jehova, Ukimuomba aje,
Hapa nilipo Baba, siwezi peke yangu,
Chorus
Alisikia x3
Amenituma nikueleze
Alisikia x3
Na hata sasa ukiomba
Anasikia x3
Hata kesho ukiomba
Atasikia x3
Verse
Bwana sikio lako si zito, Lisiweze sikia,
Haya maneno yangu ya moyo, Yatakufikia
Bwana sikio lako si zito, Lisiweze sikia,
Ukayafuta machozi ya Hannah, Futa yangu pia,
Utanisikia ,Alisikia Amemituma nikueleze
Chorus
Alisikia x3
Amenituma nikueleze
Alisikia x3
Hata sasa ukiomba
Anasikia x3
(right now right now He hears you right now every word you said)
Hata kesho ukiomba
Atasikia x3
​
Verse
Bwana sikio lako si zito, Lisiweze sikia
Haya maneno yangu ya moyo, Yatakufikia
Bwana sikio lako si zito, Lisiweze sikia
Haya maneno yangu ya moyo, Yatakufikia,
Unanisikia x5
Hata sasa nikiomba